Hapo mwanzo wakati wa uumbaji baada ya kuumba kilakitu kinacho ipendeza dunia MUNGU akasema na tumuumbe mtu kwa mfano wetu. na MUNGU aka tangulia kumuumba mwanaume kabla ya kumpa mwanamke.
mungu haku fanya hivyo kwakukosea. alikua na maana. alihitaji kumpa mwanaume majukumu ndipo ampatie mwenza wa maisha yake.
VIFUATAVYO NI VITU ANAVYO PASWA KUWANAVYO MWANAUME KABLA YA KUPATA MWENZA.
1. MWANAUME ANA HITAJI UWEPO WA MUNGU NDANI YAKE.
Baada ya mungu kumuumba adam alimuweka katika bustani ya eden. mungu ali hitaji adam awepo ndani ya uwepo wake.
kwahiyo mwanaume anahitaji uwepo wa mungu ndaniyake kabla ya mwanamke.
na hawa alimkuta adam ndani ya uwepo wa mungu.
2.KAZI
MUNGU alimpa adam kazi kwanza kabla ya mwanamke.
ukisoma mwanzo 2:15 mungu akamtwa adam na kumuweka katikati ya bustani na aka mwagiza ailime na kuitunza.
mwanume unahitaji kazi ya kufanya kabla huja mpata mwanamke.
3.MWANAUME ANAHITAJI KUWA MLINZI
MUNGU a
limpa mwanaume bustani ailinde na kuitunza . mwanaume anahitaji kuwa mlinzi kwa familia yake.
ndomana mmungu alimpa mwanaume misuli na mifupa imara ili ailinde familia yake.
4.MWANAUME ANA HITAJIKA KUA MWALIMU.
ukisoma katika bibilia mungu hakumwambia mwanamke kuhusu kula tunda la mti. adam ndie aliye pewa maagizo juu ya kuutunza ule mti.
MFANO, mwanamke atauliza tufanye nini kuhusu jambo flani na mwanaume ukajibu , kwani wewe una fikiria nini.
hilo ni kosa kwa mwanaume. una paswa kuwamwelekezi ili awe kichwa cha familia.
5.MUNGU ALIMWAGIZA ADAM ALIME
Maana yake alitakiwa atengeneze kilakitu na kipendeze machoni pa mungu.
mwanaume ana hitaji kutengeneza mwanamke anaye mhitaji.
huwezi uka pata mwanamke alie kamilika kama unavyo fikiri.
ni lazima umtengeneze katika njia inayo kupendeza.
NDIPO MUNGU AKA SEMA SIO VYEMA MTU HUYU AKAWA PEKE YAKE.
je mwanaume yupi?
1.mwenye uwepo wamungu
2.mwenye kazi na anae weza kukutunza
3.anae weza kukuwekea ulinzi
4.anaeweza kukufundisha
5.anae weza kuitengeneza familia yake
contact:+255745524031
Email:kimarojulius77@gmail.com